Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Ulimwengu Maridadi wa Miamba ya Matumbawe
    Amkeni!—1997 | Agosti 8
    • Mwishowe, katika picha ya 4 kuna kivaaute wa hali ya chini. Yeye hukaa mahali pamoja na aweza kwa urahisi kupatikana katika miamba ya matumbawe au akiwa tu kwenye sakafu ya bahari. Wengi hujilisha kwa kuchuja planktoni kutoka katika maji. Kivaaute huitwa moluska wa vali mbili kwa sababu ana makombe mawili, au vali mbili. Hizo zimeshikamana kwa kano na zinafunguliwa na kufungwa na misuli miwili yenye nguvu. Kivaaute ahitajipo kusogea, yeye hujifunua na mguu wake wenye nyama hutokeza kidogo. Lakini adui akikaribia, yeye hurudi katika kombe lake na kujifunika!

  • Ulimwengu Maridadi wa Miamba ya Matumbawe
    Amkeni!—1997 | Agosti 8
    • 4. Kivaaute hujilisha planktoni (mdomo umeonyeshwa)

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki