Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Mtukuze Mungu, Si Mwanadamu
    Mnara wa Mlinzi—2004 | Januari 15
    • Wazazi, hasa wale walio na watoto wadogo walifurahia sana hotuba ya mwisho ya siku hiyo, “Watoto Wetu Ni Urithi Wenye Thamani.” Wasikilizaji walifurahi na kushangaa wakati kitabu kipya chenye kurasa 256 kilipotolewa. Kitabu Jifunze Kutoka kwa Mwalimu Mkuu kitawasaidia wazazi watumie wakati kwa njia yenye kunufaisha kiroho pamoja na watoto ambao ni zawadi kutoka kwa Mungu.

  • Mtukuze Mungu, Si Mwanadamu
    Mnara wa Mlinzi—2004 | Januari 15
    • Kitabu Jifunze Kutoka kwa Mwalimu Mkuu kina kurasa 256 na picha 230 hivi. Tunaweza kutumia vipindi vingi vyenye kufurahisha pamoja na watoto kwa kutazama tu picha na kujibu maswali yenye kuamsha fikira yaliyo katika kitabu hicho. Kitabu hiki kipya kimekusudiwa kupinga mashambulizi ya Shetani dhidi ya vijana wetu, ambayo yana lengo la kupotosha maadili yao.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki