-
Watu Wanaopenda Amani Watetea Jina Lao ZuriMnara wa Mlinzi—2011 | Mei 1
-
-
MNAMO Desemba (Mwezi wa 12) 2009 na Januari 2010, mahakama kuu mbili nchini Urusi zilitangaza kwamba Mashahidi wa Yehova wana msimamo mkali wa kidini.
-
-
Watu Wanaopenda Amani Watetea Jina Lao ZuriMnara wa Mlinzi—2011 | Mei 1
-
-
Mahakama Kuu za Shirikisho la Urusi na Jamhuri ya Altay (ambayo ni sehemu ya Urusi) zilitangaza kwamba vitabu kadhaa vinavyochapishwa na Mashahidi, kutia ndani gazeti hili unalosoma, vinawachochea watu kuwa na msimamo mkali wa kidini. Mashahidi wa Yehova walikata rufaa mara kadhaa na mataifa mengi yakaeleza hangaiko lao kuhusu jinsi Mashahidi wanavyotendewa—lakini mahakama hazikubadili uamuzi wake! Kufikia sasa uamuzi huo haujabadilishwa, kwa hiyo, ni hatia nchini Urusi kuingiza au kusambaza machapisho hayo yanayotegemea Biblia.
-