Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Kutoka Misri Hadi Nchi Ya Ahadi
    ‘Ona Nchi Nzuri’
    • Walipokaribia Nchi ya Ahadi, Waisraeli hawakuelekea moja kwa moja kaskazini. Walizunguka kandokando ya eneo la kati la Edomu na kupanda juu kupitia “barabara ya mfalme,” au Barabara Kuu ya Mfalme. (Hes 21:22; Kum 2:1-8) Haikuwa rahisi kwa taifa zima lenye watoto, wanyama, na mahema kupitia njia hiyo. Iliwabidi kuteremka kwa kufuata njia iliyojipinda-pinda na kupanda tena makorongo yenye miinuko mikali, yaani, Zeredi na Arnoni (yenye kina cha meta 520 hivi).—Kum 2:13, 14, 24.

  • Kutoka Misri Hadi Nchi Ya Ahadi
    ‘Ona Nchi Nzuri’
    • I4 Barabara ya Mfalme

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki