Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • “Mwimbieni Yehova”!
    Igeni Imani Yao
    • Je, Miriamu alifurahi kumwona Sipora? Huenda mwanzoni alifurahi. Lakini inaonekana kamba baada ya muda aliruhusu kiburi kimdhibiti. Huenda aliona kwamba Sipora angekuwa maarufu kuliko yeye katika taifa lote. Vyovyote vile, Miriamu na Haruni walianza kusema mambo mabaya dhidi ya Musa. Na kama kawaida, mazungumzo kama hayo hugeuka kuwa yenye chuki. Mwanzoni walilalamika kumhusu Sipora; walilalamika kwamba yeye si Mwisraeli bali ni Mkushi.a Lakini mazungumzo hayo yalibadilika kuwa malalamiko dhidi ya Musa mwenyewe. Miriamu na Haruni walisema: “Je, Yehova amezungumza kupitia Musa peke yake? Je, hajazungumza kupitia sisi pia?”—Hesabu 12:1, 2.

  • “Mwimbieni Yehova”!
    Igeni Imani Yao
    • a Katika kisa cha Sipora, ni wazi kwamba neno “Mkushi” lilimaanisha kwamba ametoka Arabia, kama Wamidiani wengine, na si kutoka Ethiopia.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki