Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Pigano la Yeriko—Ni Hadithi Tu au Ni Uhakika?
    Mnara wa Mlinzi—1990 | Julai 15
    • KWA miongo kadhaa, wanaakiolojia wamejaribu kutilia shaka usimulizi wa Biblia wa Yoshua na pigano la Yeriko. Kulingana na Biblia, Yoshua na jeshi la Israeli walipiga miguu kuzunguka Yeriko kwa siku saba, mpaka Mungu akaziangusha kuta madhubuti sana za jiji hilo. Hiyo iliwaruhusu Waisraeli kuingia na ‘kuchoma jiji kwa moto na kila kitu kilichomo ndani yalo.’—Yoshua 6:1-24, NW.

  • Pigano la Yeriko—Ni Hadithi Tu au Ni Uhakika?
    Mnara wa Mlinzi—1990 | Julai 15
    • Dakt. Wood hutaja tabaka la majivu meta 1 kwa maki (unene) yaliyojaa vigae vya vyungu, vijipande vya matufali kutoka ukuta ulioanguka, na miti, vyote vikiwa vyeusi kana kwamba vimegeuzwa rangi na moto ulioenea jijini. Vijipande hivyo vya vyungu vya usanii vimepewa tarehe (kwa njia zipatikanazo ambazo zakiriwa kuwa si kamili) kuwa vya mwaka 1410 kabla ya Wakati wa Kawaida wetu, kwa kuruhusu uwezekano wa kwamba ni vya miaka 40 kabla au baada ya hapo—hiyo ikiwa si mbali hata kidogo na 1473 K.W.K., ile tarehe ya pigano la Yeriko yenye kupatikana kutokana na Biblia.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki