-
Ni Nani Ataongoza Mataifa Kwenye Amani?Je! Ulimwengu Usio na Vita Utakuwako Wakati Wowote?
-
-
15 Pili, huyo mtu mwenyewe alikuwa na sifa za ustahili. Alikuwa wa kutoka kabila la Yuda na mzao wa Mfalme Daudi. (Mwanzo 49:10; 1 Mambo ya Nyakati 17:11-14; linganisha Mathayo 1:1-16; Luka 3:23-31.) Pia, alizaliwa katika Bethlehemu, ulioeleweka kwa ujumla miongoni mwa Wayahudi wa karne ya kwanza kuwa ndipo mahali pa uzaliwa wa Mesiya.c (Mika 5:1 [5:2, UV]; linganisha Mathayo 2:4-6; Luka 2:1-7; Yohana 7:42.) Zote hizi zilikuwa sifa za ustahili za maana ambazo Wayahudi wa siku za Yesu walitarajia Mesiya awe nazo zikiwa njia ya utambulisho.
-