Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Maswali Kutoka kwa Wasomaji
    Mnara wa Mlinzi—2014 | Desemba 15
    • Tunasoma hivi kwenye Yeremia 31:15: “Yehova amesema hivi, ‘Katika Rama sauti inasikiwa, maombolezo na kilio cha uchungu; Raheli akiwalilia wanawe. Amekataa kufarijiwa juu ya wanawe, kwa sababu hawako tena.’”

  • Maswali Kutoka kwa Wasomaji
    Mnara wa Mlinzi—2014 | Desemba 15
    • Vyovyote vile, maneno ya Yeremia kuhusu Raheli akiwalilia wanawe yalikuwa unabii ambao ulitimizwa karne nyingi baadaye wakati uhai wa Yesu akiwa mtoto mchanga ulikuwa hatarini. Mfalme Herode aliamuru kwamba watoto wote wa kiume waliokuwa chini ya umri wa miaka miwili huko Bethlehemu, jiji lililokuwa kusini mwa Yerusalemu, wauawe. Hivyo, wana hao hawakuwapo tena, walikuwa wafu. Hebu wazia kilio cha huzuni cha mama hao waliofiwa na wana wao! Ni kana kwamba kilio hicho kilisikika hata eneo la mbali sana la Rama lililokuwa upande wa kaskazini wa Yerusalemu.—Mt. 2:16-18.

      Kwa hiyo, katika siku za Yeremia na katika siku za Yesu, maneno “Raheli anawalilia wanawe” yalionyesha huzuni ya mama Wayahudi ambao wana wao waliuawa. Bila shaka, wale waliokufa na kwenda katika “nchi ya adui,” kifo, wataweza kutoka mikononi mwa adui huyo wafu watakapofufuliwa.—Yer. 31:16; 1 Kor. 15:26.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki