-
Andalia Wakati Ujao kwa Hekima InayotumikaMnara wa Mlinzi—1989 | Machi 1
-
-
Bwana-mkubwa anaposikia lililotokea, linamvutia. Kwa uhakika, yeye “akamsifu wakili dhalimu kwa vile alivyotenda kwa busara [hekima inayotumika, NW].” Kweli kweli, Yesu anaongeza hivi: “Wana wa ulimwengu huu [mfumo wa mambo, NW] katika kizazi chao wenyewe huwa na busara kuliko wana wa nuru.”
-
-
Andalia Wakati Ujao kwa Hekima InayotumikaMnara wa Mlinzi—1989 | Machi 1
-
-
Yesu hampongezi wakili kwa ukosefu wake wa uadilifu bali kwa muono-mbali wake, hekima inayotumika. Mara nyingi ‘wana wa huu mfumo wa mambo’ hutumia pesa au cheo chao kwa akili chapuchapu ili kufanya urafiki pamoja na wale wanaoweza kuwarudishia mema. Kwa hiyo watumishi wa Mungu, “wana wa nuru,” wanahitaji pia kutumia kwa hekima majaliwa yao ya kimwili, ‘mali yao ya udhalimu,’ ili kujinufaisha wenyewe.
-