Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Mabadiliko Katika Hali ya Tajiri na Lazaro
    Yesu—Njia, Kweli, na Uzima
    • “Sheria na Manabii walikuwa mpaka Yohana. Tangu wakati huo, habari njema za Ufalme wa Mungu zinatangazwa, na watu wa namna zote wanajitahidi kuufikia. Kwa kweli, ni rahisi zaidi kwa mbingu na dunia kupitilia mbali kuliko sehemu yoyote ya herufi ya Sheria kukosa kutimia.” (Luka 3:18; 16:16, 17) Maneno ya Yesu yanaonyeshaje kwamba mabadiliko yanafanyika?

  • Mabadiliko Katika Hali ya Tajiri na Lazaro
    Yesu—Njia, Kweli, na Uzima
    • Sheria ya Musa haijakosa kutimizwa; badala yake, imewaelekeza kwa Masihi. Isitoshe, wajibu wa kuifuata unakwisha. Kwa mfano, Sheria ilikubali talaka kwa sababu mbalimbali, lakini sasa Yesu anaeleza kwamba “kila mtu anayempa talaka mke wake na kuoa mwingine anafanya uzinzi, na yeyote anayemwoa mwanamke aliyepewa talaka na mumewe anafanya uzinzi.” (Luka 16:18) Maneno hayo yanawakasirisha sana Mafarisayo wanaopenda kutunga sheria!

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki