Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • “Jipe Moyo!”
    “Kutoa Ushahidi Kamili” Kuhusu Ufalme wa Mungu
    • 6. Njama ya kumuua Paulo ilifunuliwaje, na vijana wanaweza kujifunza nini kutokana na mfano wa mpwa wa Paulo?

      6 Hata hivyo, mpwa wa Paulo alipata habari kuhusu njama hiyo, naye akamjulisha Paulo. Kisha, Paulo akamwagiza kijana huyo amwambie Klaudio Lisia, kiongozi wa jeshi la Roma. (Mdo. 23:16-22) Bila shaka, Yehova anawapenda vijana ambao, kama mpwa huyo wa Paulo, hutanguliza kwa ujasiri hali njema ya watu wa Mungu na kufanya kwa uaminifu yote wawezayo ili kuendeleza kazi ya Ufalme.

  • “Jipe Moyo!”
    “Kutoa Ushahidi Kamili” Kuhusu Ufalme wa Mungu
Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki