Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • “Mungu Hana Ubaguzi”
    “Kutoa Ushahidi Kamili” Kuhusu Ufalme wa Mungu
    • 1-3. Petro aliona nini katika njozi, na kwa nini tunahitaji kuelewa maana yake?

      NI MWAKA wa 36 W.K. Petro anasali kwenye paa ya nyumba iliyo karibu na bahari, katika bandari ya Yopa. Amekuwa akiishi katika nyumba hiyo kwa siku kadhaa sasa. Kwa kiasi fulani, kukaa kwake hapo kunaonyesha kwamba hana ubaguzi. Mwenye nyumba hiyo anayeitwa Simoni ni mtengenezaji wa ngozi. Kwa kweli, si kila Myahudi angekubali kukaa na mtu kama huyo.a Hata hivyo, Petro ataelewa vizuri zaidi maoni ya Yehova kuhusu ubaguzi.

  • “Mungu Hana Ubaguzi”
    “Kutoa Ushahidi Kamili” Kuhusu Ufalme wa Mungu
    • a Baadhi ya Wayahudi waliwadharau watengenezaji wa ngozi kwa sababu walikuwa wakishika ngozi, mizoga ya wanyama na vitu vingine vyenye kuchukiza katika kazi yao. Watengenezaji wa ngozi walionwa kuwa hawastahili kuingia hekaluni, nao walipaswa kufanyia kazi yao umbali usiopungua mita 22 kutoka mjini. Huenda hiyo ndiyo sababu nyumba ya Simoni ilikuwa “kando ya bahari.”​—Mdo. 10:6.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki