-
Kujikinga—Mkristo Aweza Kufikia Hatua Gani?Amkeni!—1992 | Mei 8
-
-
George Napper anatoa shauri hili: “Labda njia bora zaidi ya kujilinda ni kujasiria kupoteza mali yako badala ya uhai wako. Lengo la wanyang’anyi wengi na wavamizi ni kuiba, si kuua.” Katika hali ambapo mtu ameendewa au pesa zake zinaitishwa, kanuni ya maana ni: “Haimpasi mtumwa wa Bwana kuwa mgomvi.”—2 Timotheo 2:24.a
-
-
Kujikinga—Mkristo Aweza Kufikia Hatua Gani?Amkeni!—1992 | Mei 8
-
-
a Ingawa muktadha uonyeshapo kwamba Paulo alikuwa akisema juu ya ugomvi wa maneno, neno la awali linalotumiwa kuwa “ugomvi” (maʹkhe·sthai) kwa kawaida linashirikishwa na kupigana kwa silaha na mkono-kwa-mkono.
-