DANIELI (Nabii)
(Pia huitwa Belteshaza)
aelimishwa Babiloni: dp 7-8, 34-44
afasiri mwandiko ukutani: my 78; dp 105-110
akataa “vyakula vitamu vya mfalme” (Da 1:5): w07 9/1 18-19; w05 4/15 11-12; my 75; dp 36-44
alijifunza Biblia: w11 1/1 22; w07 6/1 22
unabii wa Yeremia: dp 181-182
alikokuwa watu wote walipoamriwa waabudu sanamu ya dhahabu ya Nebukadneza: w01 8/1 31
alimtumikia Yehova “daima” (Da 6:16, 20): dp 126-127; w96 11/15 9
‘atasimama kwa ajili ya fungu lake’ (Da 12:13): w05 5/1 12; w00 5/15 19; dp 315-318
jina:
jina la Kibabiloni: dp 35-36
kifo: dp 306, 308-309, 312-314
kipindi alichotoa unabii: dp 198, 200
malaika atokea na kumtia nguvu (Da 10): dp 201-206, 208-209
maono:
kondoo-dume, mbuzi-dume, na pembe ndogo (Da 8): w12 6/15 10-11; la 13-14; dp 165-179
Mzee wa Siku (Da 7): w12 10/1 18; dp 144-148; w98 6/15 14
wanyama waliotoka katika bahari, na makao ya mbinguni (Da 7): w00 5/15 13-14; dp 129-148
mfano kwa Wakristo: dp 124-127
funzo (Da 9): w11 1/1 22; dp 309-310
kulitukuza jina la Yehova: w11 1/1 23
mazoea mazuri: w01 8/1 20
mwalimu wa Neno la Mungu: dp 311-312
sala: w11 1/1 22-23
sala (Da 6): w10 2/15 17-18; dp 310
sala (Da 9): dp 182-186, 310-311
“mwenye kutamanika” (Da 9:23): w11 1/1 21-23; w07 9/1 20; dp 7, 185-186
shimo la simba: my 79; lr 63-64; w01 6/1 7, 10; dp 21, 115-127; w98 11/15 9; w96 11/15 8-9
maofisa waliopanga njama: w96 11/15 8
unyenyekevu: w04 8/1 12-13
utimilifu (uaminifu-maadili): w97 7/15 15-16
utumishi katika makao ya mfalme wa Babiloni: w96 5/1 11
utumishi katika makao ya mfalme wa Milki ya Umedi na Uajemi: dp 115-117, 124-125; w96 5/1 11; w96 11/15 8-9
kilichofanya Danieli atoe sala hadharani licha ya katazo (Da 6): w07 9/1 19
maofisa wapanga njama ya kumuua Danieli (Da 6): w08 11/1 23