Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • dx96-12
  • Makao

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Makao
  • Fahirisi ya Machapisho ya Watch Tower 1996-2012
  • Vichwa vidogo
  • Maeneo Mbalimbali
Fahirisi ya Machapisho ya Watch Tower 1996-2012
dx96-12

MAKAO

(Ona pia Kuhama/Kuhamia; Maisha ya Familia; Makao, Watu Wasio na; Makao ya Watawa; Nyumba [Majengo]; Nyumbani [Tamaa ya Kurudi])

(Kuna kichwa kidogo: Maeneo Mbalimbali)

dawa zinazofaa kuwa nazo nyumbani: g98 7/8 7

haki ya kuwa na makao yanayofaa: g05 9/22 3-4

hatari za monoksidi ya kaboni: g00 12/8 31

kazi za nyumbani: fy 42-45, 105, 112

kama inafaa wanaume wasaidie kuzifanya: fy 44

kuwapa watoto kazi ya kufanya: g00 6/8 28; w98 4/1 8; g98 1/22 5

mazoezi mazuri: g02 11/8 29

mtazamo kuzihusu: w97 8/15 19

nyakati za Biblia: w10 2/1 8-10

roboti inayovuta vumbi: g 9/08 17

tofauti kati ya wanawake na wanaume: g96 6/8 28

watu wa familia kusaidiana: fy 42-45, 105, 112

kuishi katika nyumba moja na watu wengine: w10 2/15 22-23

kujeruhiwa au kufa kwa sababu ya mambo yasiyotazamiwa au kukusudiwa yanayotukia nyumbani: g02 3/8 28; w01 2/1 4-5

watoto: g99 10/8 20-23

watoto wafa maji: g02 12/22 29

kulinda nyumba isivunjwe na majambazi:

ujambazi: w98 12/15 22-23

kupaka rangi: g02 8/22 24-27

kupasha nyumba joto: g 8/07 29; g 10/06 30; g03 8/8 22-25

kuwaelimisha watoto nyumbani: w97 8/15 21

kuwatunza nyumbani wagonjwa au wazee wanaokaribia kufa: g 7/11 15-16

kuyaweka nadhifu: km 4/01 8

madhara ya dawa za kuwaua wadudu waharibifu: g98 12/22 8; g96 5/8 28

madirisha yanayojifunga wakati wa kelele nyingi: g98 7/8 28

magari yenye jiko na vitanda: jv 286

mahitaji ya msingi: g05 9/22 7

majiko (meko): g03 11/8 28-29

makao ya kale: g05 9/22 12

makao yasiyo na mahali pa kupikia: g98 10/22 29

makutaniko nyumbani kwa watu: w07 4/15 23

mambo yaliyoonwa:

jengo lenye mfumo wa kupasha nyumba joto lajengwa upya: g05 12/8 31

maisha ya familia yabadilika: w00 1/1 4

nyumba yajengwa: w03 9/1 28

nyumba zafanyiwa ukarabati au kujengwa upya: yb11 159; yb09 208; w06 12/1 28; w03 6/1 5-6; g03 7/8 30; g03 8/8 14; g02 11/22 19-24; g01 10/22 26-27; w00 9/15 32; g00 4/22 16-17; w99 5/15 27-28; w99 6/15 8-9; g99 3/8 13; g98 10/8 10; jv 310

wenye shangwe ijapokuwa walipoteza nyumba: w01 5/1 13-14

mazulia:

vichafuzi: g02 4/22 25

mikutano katika nyumba ya mtu: w11 1/15 15; od 120

mikutano ya utumishi wa shambani: km 10/12 6

mioto ya kupikia na kupasha nyumba joto inaweza kusababisha misiba: g05 6/8 14

nyakati za Biblia: g05 9/22 10

makao ya karne ya kwanza: w10 1/1 16-18

ukoma kwenye kuta: g 1/06 14

ukuta mfupi katika ukingo wa dari: w10 4/15 29

nyumba nyingi zinahitajika watoto wanapohama nyumbani: g03 9/8 29

uchafuzi wa hewa ndani ya nyumba: g01 12/22 29; g00 10/22 29; g98 12/22 7-9

kuupunguza: g00 8/8 7; g98 12/22 8

ujambazi: w98 12/15 21-25

ukarabati (urekebishaji):

haufai muda mfupi kabla ya mtoto kuzaliwa: g03 10/22 28-29

ulaghai: g97 9/22 3-4, 8

ukarabati (urekebishaji) ambao mtu mwenyewe anafanya:

jinsi ya kujua ukubwa wa sakafu: g03 5/22 22-23

upungufu wa makao: g05 9/22 3-9, 11-12; g98 6/8 6-7

usafi: g 3/11 7; lv 92; od 137-138; g05 6/8 19-22; g98 5/22 20; fy 47-49

jikoni: g 6/12 5; g01 3/8 28-29; g99 1/22 28

vitambaa vya kupangusia vyombo na sifongo (sponji) za jikoni: g99 1/22 28; g96 11/8 29

usalama: bh 128; w01 2/1 4-5; g99 10/8 22; g99 11/22 26-27; rq 24

kwa wazee: g 2/11 14-15

viini: g05 7/8 29

vitu vingi visivyohitajika: w06 8/1 9-10

watoto wanaotoroka nyumbani: g98 10/8 28

Maeneo Mbalimbali

Afrika:

nyumba za kienyeji: g05 9/22 8

Asia:

nyumba aina ya yurt: g 9/10 16-17

Haiti:

nyumba za muda, baada ya tetemeko la ardhi la 2010: yb11 32-33; g 12/10 17

Hispania:

mbegu za zeituni zatumiwa kama kuni: g 10/06 30

Italia:

makao ya mapango ya Matera: w98 5/15 32; g97 7/8 16-19

Jamuhuri ya Altay:

nyumba zinazoitwa ayyl: w12 3/1 24-25

Korea:

mfumo wa kupasha nyumba joto unaoitwa ondol: g03 8/8 22-25

Lesotho:

watu wanaoishi katika mapango ya Ha Kome: g00 6/8 26-27

Slovakia:

kijiji cha Orava: g04 2/22 14-15

Uholanzi:

vinu vya upepo: g03 10/8 21

Ukrainia:

mapambo aina ya shuba (“makoti ya manyoya”): g05 10/22 22-23

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki