VIUAVIJASUMU (Dawa za Kuua Viini)
(Ona pia Dawa)
bakteria sugu: g 7/12 6; g 10/12 27; g04 5/22 10; g03 10/22 3-11; g98 12/22 28; g97 11/22 6; g96 2/22 7-8
kifua kikuu (TB): w08 10/1 7; g01 11/22 28; g99 5/22 22; g97 12/22 6-8; g96 6/22 29, 31
zinazotokana na kutumia viuavijasumu kupita kiasi: g01 3/22 29
zinazotokana na kuwalisha wanyama wa kufugwa viuavijasumu: g02 12/22 28; g01 12/22 4-5
chungu wanaovitumia: g04 6/22 28
maelezo: g04 5/22 7-9; g03 10/22 6
manufaa na madhara: g04 5/22 7-9; g96 9/22 12
matumizi: g03 10/22 9
mbinu za kubadili maumbile ya chembe za urithi: g96 2/22 11
mifugo walishwa viuavijasumu: g04 9/22 28
penisilini: w10 4/1 3; g 1/06 14
umuhimu wa kumaliza dawa zilizopendekezwa na daktari: g03 10/22 9; g96 2/22 8