NYUKLIA, NISHATI YA
(Ona pia Nyuklia, Taka za)
hatari:
mitambo inayochakaa inaweza kusababisha misiba: g05 3/8 6
kama itaweza kupunguza ongezeko la joto duniani: g 8/08 6
kiasi kinachozalishwa: g05 3/8 6
magendo ya vifaa vinavyotumiwa kutengeneza silaha za nyuklia: g98 10/8 14
msiba huko Chernobyl, Muungano wa Sovieti (1986): g01 2/8 6; g97 4/22 12-15
kiasi cha mnururisho: re 175
madhara yatadumu kwa muda mrefu: g01 8/8 29; g00 12/22 29
Milima ya Alps ya Ulaya: g99 1/8 29
nguruwe mwitu wenye mnururisho wa nyuklia: g 7/11 22
watembelea Chernobyl miaka 20 baada ya msiba: g 4/06 14-16
msiba wa tsunami nchini Japani (2011): yb12 18; g 12/11 18
strontium-90 katika meno ya watoto wachanga: g01 2/22 31