KUSOMA NA KUANDIKA
(Ona pia Kutopenda Kusoma; Usomaji)
(Ona pia Tatizo la Kusoma [Dyslexia])
(Kuna vichwa vidogo: Kutojua Kusoma na Kuandika; Kutojua Kusoma na Kuandika [Maeneo Mbalimbali])
chati inayohusu hali katika nchi tajiri na nchi maskini: g05 11/8 5
Israeli (la kale): ed 8
mambo yaliyoonwa:
kijana aliyepungukiwa akili: w08 2/15 18
mke mgomvi: w02 8/15 9
Shahidi ajifunza kusoma katika majuma sita: jv 480
manufaa: w03 3/15 10-11, 13-14
watoto wenye afya nzuri: g96 1/22 28
mipango ya Mashahidi: km 10/11 4; ed 11; g01 7/22 6-8; g00 12/22 8-9; jv 480
Afrika: jv 480
Afrika Kusini: yb07 98
Brazili: g01 7/22 6-8; g00 12/22 9
Burundi: g01 7/22 8; g00 12/22 8
Honduras: jv 362
Mexico: ed 11; w01 1/1 25; g00 12/22 9; jv 466-467
Msumbiji: w02 11/15 32; g01 7/22 8; g00 12/22 8-9
Nigeria: ed 11
Papua New Guinea: yb11 136-137
Visiwa vya Solomon: w02 8/15 8-9
Wakristo wa mapema: w08 9/1 12-15
wanawake: g98 4/8 10
watu wasioweza kusoma na kuandika vizuri:
Japani: g03 5/8 29
nchi 32 (2001): g03 1/22 28-29
uhusiano kati ya kutojua kusoma na kuandika vizuri na kukosa kazi: g97 4/22 28
Ujerumani: g96 5/8 28
Kutojua Kusoma na Kuandika
kuwafundisha watu wasiojua kusoma na kuandika ukweli wa Biblia:
broshua Msikilize Mungu: ld 1-32
broshua Msikilize Mungu Uishi Milele: ll 1-32
mambo yaliyoonwa:
kijana ajifunza kusoma ili aweze kusoma Biblia: yb12 69-70; yb09 221-222
mtu aliyemshukuru Yehova kwa kuelewa ukweli wa Biblia: yb11 96-97
mwanamke wa kabila la wenyeji: w06 4/15 10-11
wapita njia wamsaidia kusoma andiko la siku: w00 3/15 30-31
Kutojua Kusoma na Kuandika (Maeneo Mbalimbali)
duniani kote: g99 6/8 28
1957: jv 479
nchi zinazoendelea: g05 11/8 5-6; g99 9/8 29