Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • dx96-12
  • Kutia Damu Mishipani

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Kutia Damu Mishipani
  • Fahirisi ya Machapisho ya Watch Tower 1996-2012
  • Vichwa vidogo
  • Mambo ya Kisheria
  • Manukuu
  • Maoni ya Biblia
Fahirisi ya Machapisho ya Watch Tower 1996-2012
dx96-12

KUTIA DAMU MISHIPANI

(Ona pia Damu; Halmashauri za Uhusiano na Hospitali; Huduma za Habari za Hospitali; Kadi za Kukataa Damu; Tiba [Mwelekezo Kuihusu])

(Kuna vichwa vidogo: Mambo ya Kisheria; Manukuu; Maoni ya Biblia)

Brazili:

haki ya mgonjwa yatetewa: w98 3/1 29

Bulgaria:

mkutano kuhusu matibabu ya badala: g98 11/22 29

gharama: g98 8/22 11

hakuna kanuni hususa kuhusu kutia damu mishipani: g00 1/8 6

hospitali zinazoheshimu msimamo wa Mashahidi: g00 1/8 9; g99 3/8 20; g98 12/8 19; g97 2/8 29; g96 1/22 31

Chuo cha Kitiba cha Wanawake cha Tokyo: w96 3/15 31

Hospitali ya Chuo Kikuu, Newark, New Jersey, Marekani: g98 8/22 10-11

Hospitali ya Englewood, New Jersey, Marekani: g98 8/22 10

idadi ya watu wanaokufa kwa sababu ya kutiwa damu: jv 184-185

Italia:

kashfa kuhusu damu: g96 2/8 29

Japani:

mahakama kuu yaamua kwamba ni kinyume cha sheria kumtia mtu damu bila kibali chake (2000): g00 9/22 28

Kanada:

idadi ya watu wanaokataa damu inaongezeka: g98 9/22 31

kanuni za maadili zinazohusika katika matibabu: w97 2/15 19-20

kuepuka kutiwa damu mishipani: g00 1/8 11; km 9/99 7; jv 185-186

wakati wa kujifungua: g 11/09 28-29

madaktari wanaofanya upasuaji bila kumtia mgonjwa damu:

Godec, Ciril (Brooklyn): g99 8/22 31

madaktari wanaoheshimu msimamo wa Mashahidi: yb08 223; g 9/07 30; w01 6/1 20; g00 1/8 3; g98 12/8 19

madaktari wanaokubali kwamba damu si dawa nzuri: g 8/06 6-7; w04 5/1 24, 26; g99 8/22 31

madhara: g 7/08 30; g 8/06 5-7; rs 45; g02 2/22 28-29

chembe nyekundu za damu zinaharibika: g03 12/8 12

madaktari wakubali kwamba damu ina madhara: g 8/06 6-7

madhara kwa wagonjwa wenye maradhi ya moyo: g 1/09 30; g05 9/8 28-29

madhara kwa wanaougua kansa: g03 12/8 13

mchochota wa ini aina ya B: g00 1/8 6

mchochota wa ini aina ya G: g98 12/8 18; g97 8/8 28

mchochota wa ini wa aina ya C (si aina ya A wala ya B): g05 8/22 28-29; g00 1/8 6; g00 4/22 29; g98 5/8 28; g98 12/8 18

protini fulani katika damu zinasababisha ugonjwa wa Creutzfeldt-Jakob (kichaa cha ng’ombe): g 2/06 30

tangazo katika magazeti ya New York City (1998): g99 4/8 28

uambukizaji wa magonjwa: g00 10/22 28-29; g99 6/22 31

ugonjwa wa Chagas: g05 10/22 28

ugonjwa wa mapafu (TRALI): g 8/06 7; g03 3/8 28

UKIMWI: g 6/08 21; g00 1/8 6; g00 5/8 31; g97 12/22 29

virusi aina ya TT: g00 6/8 29

virusi vinavyoenezwa kwa kutiwa damu (TTV): g99 2/22 29

maelezo: g 8/06 3-12

maelezo ya madaktari kuhusu matibabu yasiyohusisha damu: w01 6/1 20-21; g00 1/8 7, 10

magonjwa yaliyotibiwa bila mgonjwa kutiwa damu:

kansa ya damu aina ya lymphoblastic (mtoto mchanga): w01 4/15 14-16

kansa ya damu ya aina ya promyelocytic: g01 4/22 30; g00 8/22 20-21

kiwango kidogo sana cha chembe nyekundu za damu: g98 8/22 10

kukatwa mguu: g97 4/22 21-23; g96 6/22 26-27

kupandikiziwa ini: g00 1/8 3

upasuaji wa moyo (mvulana): g00 6/22 30

upasuaji wa moyo wa mtoto mwenye miaka saba: g00 3/22 23

upasuaji wa ubongo: w96 3/15 31

vidonda vya tumbo: w01 2/1 31

viungo vya ndani kuvuja damu: g98 8/22 10

watoto wachanga waliofanyiwa upasuaji wa moyo: g 6/11 14-15

mambo yaliyoonwa:

daktari avutiwa na matokeo ya upasuaji uliofanywa bila damu: w03 5/1 13

daktari Shahidi: g00 8/22 13-14

kupungua kwa kiwango cha damu: yb12 155-156

Mashahidi wateswa: jv 184-185

msiba wa barabarani (Hispania): g00 5/8 12-13

mwanafunzi msichana aeleza msimamo wake kuhusu damu: w05 3/15 18

mwanamke afa kwa sababu hakutibiwa vizuri, si kwa sababu alikataa kutiwa damu: w96 2/1 15

Shahidi aheshimiwa na wauguzi: w04 6/15 28

simulizi la maisha la daktari, “Nilikubali Maoni ya Mungu Kuhusu Damu”: g04 9/22 30; g03 12/8 12-15

video kuhusu damu yamvutia mwalimu: g04 9/8 13

waliokufa wakati au baada ya kutiwa damu mishipani kwa nguvu: yb07 210-211; jv 184-185

wavulana wenye kansa ya damu: w08 10/1 30-31; w96 2/1 15

maoni ya Mashahidi: g 6/09 30; w08 10/1 31; lv 77-79; g 8/06 11-12; w04 6/15 29-31; w00 6/15 29-31; jv 183-186

insha ya mwanafunzi Shahidi (Italia): g 6/09 30

kumweleza daktari kuhusu msimamo wa Mashahidi: lv 217; w04 6/15 31; w00 6/15 30

yazungumziwa katika chuo kikuu (Hispania, 1996): w97 2/15 19-20

matibabu ya badala: rs 45-46; g00 1/8 8; g99 3/8 19-20; g99 8/22 31

aseniki: g00 8/22 20-21

erythropoietin (EPO): g96 11/8 30

kemikali za perfluorocarbon: g99 3/8 19-20

matibabu yasiyohusisha damu: g 8/06 12; w01 3/1 32; g01 4/8 29; g00 1/8 3, 7-11; g00 8/22 30; g99 3/8 19-20; g98 12/8 18-21

mbinu mbalimbali za upasuaji: g98 2/22 20-21; g98 12/8 20; w96 3/15 31; g96 1/22 31

umajimaji unaosafirisha oksijeni: g99 4/22 27

video kuhusu matibabu yasiyohusisha damu (No Blood—Medicine Meets the Challenge): km 6/01 7

video kuhusu matibabu yasiyohusisha damu (Transfusion-Alternative Strategies—Simple, Safe, Effective): g 8/06 8-9

visafirisha-oksijeni vinavyotokana na hemoglobini: g 8/06 11; km 11/06 5

vitu vinavyochochea ukuzi wa vigandisha-damu: g99 3/8 19

wataalamu wakusanyika ili kujadiliana kuyahusu (1995, Marekani): w96 8/15 32

matibabu ya kutia damu mishipani yalivyoanza: g00 1/8 4-6

matibabu yasiyohusisha damu: g01 1/22 30

upungufu wa damu unaoitwa beta-thalassemia (wa Cooley): g01 1/8 20-22

Norway:

mkutano wa 25 kuhusu damu (International Society of Blood Transfusion) (1998): g99 3/8 19-20

upasuaji unaofanywa bila kutia damu mishipani: g 8/06 12; rs 45-46; g00 1/8 8; g00 9/8 30; g99 8/22 31; g98 12/8 18-21; jv 185; w96 3/15 31

hospitali zinazokubali kufanya upasuaji bila kutumia damu: g01 4/8 29; g00 1/8 9; g99 3/8 20; g98 12/8 19; g97 2/8 29

jitihada za kuuandaa: g97 7/22 29

kanuni za maadili zinazohusika: w97 2/15 19-20

madaktari wanaona ubora wake: w01 3/1 32; g00 8/22 30; g98 8/22 10-11; g98 12/8 18-21

mkutano pamoja na wataalamu wa kitiba (1998, Urusi): yb08 222; g99 4/22 26-27

upasuaji wa kupandikiza viungo vya mwili: g00 1/8 3

upasuaji wa kuweka nyonga: g99 8/22 30

upasuaji wa moyo: yb09 251; rs 45-46; g00 3/22 23; g00 9/8 31

upasuaji wa moyo kwa sababu ya mshipa uliozibika: g96 1/22 31

upasuaji wa ubongo: g98 2/22 20-21; w96 3/15 31

upasuaji wa watoto: rs 45-46

upasuaji wa watoto wachanga: g 6/11 14-15; g00 9/8 31

wengi wanataka upasuaji usiohusisha damu: g98 12/8 19, 21

Urusi: yb08 221-223

kibanda cha Mashahidi katika kongamano la kitiba (2011): g 9/12 25-26

mikutano pamoja wataalamu wa kitiba: yb08 222

wagonjwa wanakataa damu: g98 9/22 31

Mambo ya Kisheria

fomu za kukataa damu:

Mwelekezo wa Mapema Kuhusu Tiba/Ondoleo la Hatia: km 12/04 4

haki za mgonjwa:

Brazili: w98 3/1 29

haki ya kuarifiwa kabla ya kukubali matibabu: w04 5/1 26-27

Iceland: yb05 246

Italia: g02 3/22 29; w96 11/15 24

Urusi: yb08 223

kadi za kukataa damu: jv 185

Mamlaka ya Kudumu ya Uwakilishi wa Kitiba (DPA): km 1/10 3; km 1/09 3

Mwelekezo wa Mapema Kuhusu Tiba/Ondoleo la Hatia: km 12/04 4

kesi mbalimbali: jv 185-186

Italia: w96 11/15 24

Japani: g00 9/22 28; w98 12/1 22; w98 12/15 26-29; g98 8/22 11

Marekani: yb05 16; g98 8/22 11; w97 8/1 32

Puerto Riko: yb11 26; w02 4/1 27; w96 1/15 30

shirika la Msalaba Mwekundu lilipatikana na hatia katika kesi ya watu wawili walioambukizwa UKIMWI walipotiwa damu (Kanada): g98 9/22 31

mambo ya kufanya ili kuepuka kutiwa damu mishipani:

kuwafundisha watoto ifaavyo: km 12/05 6

wahubiri ambao hawajabatizwa: km 12/04 4

watoto:

Iceland: yb05 246

Manukuu

damu haiwezi kamwe kuwa salama kabisa: g00 1/8 7

damu ilifikiriwa kuwa dawa ya kutia afya na nguvu. Sasa yafikiriwa kuwa sumu: g97 2/8 29

hatuwezi kupima kitu ambacho hatukijui: g98 3/8 8-9

kwa miongo mingi tumeingiza mwilini kitu ambacho hatukujua mengi kukihusu: g98 3/8 8-9

labda Mashahidi hawajakosea: jv 186

lazima tutafute njia ya badala kwa ajili ya wagonjwa wetu wote: g00 1/8 8

Mungu asifiwe kwa sababu Mashahidi wa Yehova wanaongoza katika utafiti wa vibadala: g99 2/22 5; g98 9/22 31

tiba bila damu ni njia ya kisasa: g98 12/8 21

tunapaswa kuwashukuru Mashahidi: g99 4/22 27

upasuaji bila damu ni kwa ajili ya wagonjwa wote: g00 1/8 7

utiaji-damu mishipani utakoma: g00 1/8 11

wabarikiwa ni Mashahidi wa Yehova: g96 2/8 29

wagonjwa hawatatiwa damu isivyo lazima kwa sababu ya kazi ya Mashahidi: g00 1/8 11

Maoni ya Biblia

chati: lv 216; w04 6/15 22

kumweleza daktari msimamo: w04 6/15 31; w00 6/15 30

maandiko yaeleweka wazi zaidi:

1945: jv 183

1961: jv 183-184

2000: w00 6/15 29-31; w00 10/15 30-31; w00 12/15 30

maelezo: lv 74-79; bh 129-131; w04 6/15 29-31; rs 42-45; w00 6/15 29-31; rq 25

matibabu yanayohusisha damu ya mtu mwenyewe: lv 216-218; w00 10/15 30-31; w00 12/15 30

kuihifadhi na kuirudisha mwilini tena: km 11/06 4; w00 10/15 30-31

kukusanya damu wakati wa upasuaji na kuirudisha mwilini: km 11/06 6; w00 10/15 31

mashine zinazofanya kazi badala ya kiungo fulani: km 11/06 6; w00 10/15 31

uzimuaji wa damu (hemodilution): km 11/06 6; w00 10/15 31

sehemu kuu za damu: w04 6/15 21-22, 29-30; w00 6/15 29

vipingamizi katika huduma ya shambani: rs 46-48

visehemu vya damu: lv 78-79, 215-216; km 11/06 4; w04 6/15 22, 30-31; w00 6/15 29-31; w00 8/15 30

chati ya maamuzi ya mtu binafsi kuhusu visehemu vya damu: km 11/06 5

dhamiri inavyohusika: w04 6/15 23-24

visafirisha-oksijeni vinavyotokana na hemoglobini: g 8/06 11; km 11/06 5

wazazi kuwafundisha watoto: km 12/05 6

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki