Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • yb16 uku. 130
  • Painia wa Pekee kwa Miaka Hamsini

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Painia wa Pekee kwa Miaka Hamsini
  • 2016 Kitabu cha Mwaka cha Mashahidi wa Yehova
  • Habari Zinazolingana
  • Kutembea kwa Nafsi Yote katika Njia ya Uzima
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1975
  • Painia Ni Nani?
    Ni Nani Wanaofanya Mapenzi ya Yehova Leo?
  • Je! Waweza Kumtumikia Yehova Ukiwa Painia?
    Huduma Yetu ya Ufalme—1993
  • Kutumikia kwa Kuhisi Uharaka
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1993
Pata Habari Zaidi
2016 Kitabu cha Mwaka cha Mashahidi wa Yehova
yb16 uku. 130

INDONESIA

Painia wa Pekee kwa Miaka Hamsini

Alisten Lumare

  • ALIZALIWA 1927

  • ALIBATIZWA 1962

  • HISTORIA FUPI Aliyekuwa inspekta wa polisi alitumikia akiwa painia wa pekee kwa zaidi ya miaka 50.

Alisten Lumare

MWAKA wa 1964, nilipewa mgawo wa kuwa painia wa pekee huko Manokwari, West Papua, katika kutaniko dogo lililokuwa likikabili upinzani mkali wa viongozi wa kidini wa eneo hilo. Mara tu nilipowasili, mhudumu wa Kiprotestanti alivamia nyumba yangu.

Akafoka: “Nitavunja nyumba hii na kuwafutilia mbali Mashahidi wa Yehova hapa Manokwari.”

Sikuogopa kwa sababu nilikuwa nimepata mafunzo ya kijeshi. Hata hivyo, nilimjibu kwa utulivu, na mwishowe akaondoka kwa amani.—1 Pet. 3:15.

Wakati huo kulikuwa na wahubiri wanane katika eneo la Manokwari. Baada ya miaka 50 hivi, sasa kuna makutaniko saba katika eneo hilo. Zaidi ya watu 1,200 walihudhuria kusanyiko la eneo mwaka wa 2014. Ninapoona mambo ambayo Yehova ametimiza katika eneo hili la kijijini, moyo wangu unafarijika sana.

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki