-
Waamuzi 3:1Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
3 Haya ndiyo mataifa ambayo Yehova aliyaruhusu yabaki ili yawajaribu Waisraeli wote ambao hawakuwa wamepigana vita vyovyote katika nchi ya Kanaani+
-
-
1 Samweli 6:4Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
4 Basi wakauliza: “Tunapaswa kumpelekea dhabihu gani ya hatia?” Wakasema: “Kulingana na idadi ya watawala wa Wafilisti,+ pelekeni bawasiri tano za dhahabu na panya watano wa dhahabu, kwa maana kila mmoja wenu pamoja na watawala wenu wamepatwa na pigo lilelile.
-