-
Zaburi 121:4Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
4 Tazama! Hatasinzia kamwe wala kulala usingizi,
Yeye anayelinda Israeli.+
-
-
Isaya 60:2Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
2 Kwa maana tazama! giza litaifunika dunia
Na utusitusi mzito utayafunika mataifa;
Lakini Yehova atakuangazia,
Na utukufu wake utaonekana juu yako.
-