Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Kutoka 4:19
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 19 Kisha Yehova akamwambia Musa huko Midiani: “Nenda, rudi Misri, kwa sababu watu wote waliokuwa wakiiwinda nafsi yako wamekufa.”+

  • Mathayo 5:22
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 22 Hata hivyo, ninawaambia ninyi kwamba kila mtu anayeendelea kuwa na ghadhabu+ na ndugu yake atatoa hesabu+ mahakamani; lakini yeyote yule anayemwambia ndugu yake neno la dharau lisilosemeka atatoa hesabu katika Mahakama Kuu Zaidi; na yeyote yule anayesema, ‘Wewe mpumbavu wa kudharauliwa!’ atastahili Gehena* ya moto.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki