9 Mimi nitakuwa dhamana kwa ajili yake.+ Umdai mkononi mwangu.+ Nisipomrudisha kwako na kumweka mbele yako, basi nitakuwa nimekutendea dhambi ya kudumu.
32 Kwa maana mtumwa wako alijitoa kuwa dhamana+ ya mvulana huyu awapo mbali na baba yake, akisema, ‘Nisipomrudisha kwako, basi nitakuwa nimemtendea baba yangu dhambi milele.’+