-
Mwanzo 42:35Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
35 Ikawa kwamba walipokuwa wakitoa vilivyokuwa ndani ya magunia yao tazama, kifurushi cha pesa cha kila mmoja wao kilikuwa katika gunia lake. Na wao na baba yao pia wakapata kuona vifurushi vyao vya pesa, nao wakaogopa.
-