Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Mambo ya Walawi 25:30
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 30 Lakini ikiwa haitanunuliwa na kurudishwa kabla ya ule mwaka mzima kutimia kwa ajili yake, nyumba hiyo iliyo katika jiji lenye ukuta itasimama milele ikiwa mali ya mnunuzi katika vizazi vyake. Haitarudishwa katika Yubile.

  • Mambo ya Walawi 27:24
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 24 Katika mwaka wa Yubile shamba hilo litarudi kwa mtu aliyelinunua kutoka kwake, kwa mtu ambaye shamba hilo ni mali yake.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki