Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Kutoka 28:38
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 38 Nalo litakuwa kwenye paji la uso wa Haruni, naye Haruni atatoa jibu kwa ajili ya kosa linalofanywa juu ya vyombo vitakatifu,+ ambavyo wana wa Israeli watatakasa, yaani, zawadi zao zote takatifu; nalo litakaa kwenye paji la uso wake daima, ili kupata kibali kwa ajili yao+ mbele za Yehova.

  • Hesabu 18:32
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 32 Nanyi msijiletee hatia ya dhambi mnapochanga vilivyo bora katika hivyo, wala msitie unajisi vitu vitakatifu vya wana wa Israeli, msije mkafa.’”+

  • Kumbukumbu la Torati 15:19
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 19 “Kila mwanamume mzaliwa wa kwanza atakayezaliwa katika mifugo yako na katika kundi lako utamtakasa kwa Yehova Mungu wako.+ Usifanye utumishi wowote na mzaliwa wa kwanza wa ng’ombe-dume wako, wala kukata manyoya ya mzaliwa wa kwanza wa kundi lako.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki