Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Amosi 5:11
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 11 Basi, kwa sababu mnamtoza mtu wa hali ya chini kodi ya shamba,+ nanyi mnaendelea kuchukua kutoka kwake ushuru wa nafaka; mmejenga nyumba za mawe yaliyochongwa,+ lakini hamtaendelea kukaa ndani yake; nanyi mmepanda mashamba ya mizabibu yenye kupendeza, lakini hamtaendelea kunywa divai yake.+

  • Mika 6:15
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 15 Nawe utapanda mbegu, bali hutavuna. Nawe utakanyaga zeituni, bali hutajipaka mafuta; pia divai tamu, bali hutakunywa divai.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki