Mika 6:15 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 15 Nawe utapanda mbegu, bali hutavuna. Nawe utakanyaga zeituni, bali hutajipaka mafuta; pia divai tamu, bali hutakunywa divai.+
15 Nawe utapanda mbegu, bali hutavuna. Nawe utakanyaga zeituni, bali hutajipaka mafuta; pia divai tamu, bali hutakunywa divai.+