Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • 1 Samweli 19:11
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 11 Baadaye Sauli akatuma wajumbe+ kwa nyumba ya Daudi ili wailinde na kumuua asubuhi;+ lakini Mikali mke wake akamwambia Daudi, akisema: “Usipoiponya nafsi yako usiku wa leo, kesho utakuwa mtu aliyeuawa.”

  • 2 Samweli 17:1
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 17 Naye Ahithofeli akamwambia Absalomu: “Tafadhali, acha nichague watu kumi na mbili elfu, niondoke na kumfuatilia Daudi usiku wa leo.+

  • Yohana 18:3
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 3 Kwa hiyo Yuda akachukua kikosi cha askari-jeshi na maofisa wa wakuu wa makuhani na wa Mafarisayo nao wakaja hapo wakiwa na mienge na taa na silaha.+

  • Yohana 18:28
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 28 Basi wakampeleka Yesu kutoka kwa Kayafa mpaka kwenye jumba la gavana.+ Sasa ilikuwa asubuhi. Lakini wao wenyewe hawakuingia ndani ya jumba la gavana, ili wasipate kutiwa unajisi+ bali wapate kula pasaka.

  • Matendo 9:24
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 24 Hata hivyo, hila yao juu yake ikajulikana kwa Sauli. Lakini walikuwa pia wakiyaangalia sana malango mchana na pia usiku ili kumwangamiza.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki