Kumbukumbu la Torati 7:10 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 10 lakini anayemlipa usoni pake yule anayemchukia kwa kumwangamiza.+ Hatasitasita kuelekea yule anayemchukia; atamlipa usoni pake. Zaburi 21:8 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 8 Mkono wako utawapata adui zako wote;+Mkono wako wa kuume utawapata wale wanaokuchukia.
10 lakini anayemlipa usoni pake yule anayemchukia kwa kumwangamiza.+ Hatasitasita kuelekea yule anayemchukia; atamlipa usoni pake.