Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Kumbukumbu la Torati 32:30
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 30 Mmoja angewezaje kufuatilia elfu,

      Na wawili kuwafanya elfu kumi wakimbie?+

      Haingewezekana isipokuwa Mwamba wao awe amewauza+

      Na Yehova awe amewatoa.

  • 1 Samweli 17:46
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 46 Leo Yehova atakutia mkononi mwangu,+ nami hakika nitakupiga na kukiondoa kichwa chako juu yako; nami leo nitawapa ndege wa mbinguni na wanyama-mwitu wa dunia mizoga ya kambi ya Wafilisti;+ na watu wa dunia yote watajua kwamba kuna Mungu aliye wa Israeli.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki