Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Waamuzi 6:36
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 36 Ndipo Gideoni akamwambia Mungu wa kweli: “Ikiwa utawaokoa Israeli kupitia kwangu, kama vile ambavyo umeahidi,+

  • Isaya 37:30
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 30 “‘Na hii itakuwa ndiyo ishara kwa ajili yako: Mimea inayochipuka kutokana na mbegu zilizoanguka+ italiwa mwaka huu, na katika mwaka wa pili nafaka inayochipuka yenyewe; lakini katika mwaka wa tatu pandeni mbegu, mvune, na mpande mashamba ya mizabibu na kula mazao yake.+

  • Isaya 38:7
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 7 Na hii ndiyo ishara kwa ajili yako kutoka kwa Yehova kwamba Yehova atatenda neno hili ambalo amesema:+

  • Mathayo 12:38
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 38 Ndipo baadhi ya waandishi na Mafarisayo wakamjibu, wakasema: “Mwalimu, tunataka kuona ishara kutoka kwako.”+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki