38 Kwa maana mtu yeyote yule anayenionea aibu mimi na maneno yangu katika kizazi hiki chenye uzinzi na chenye dhambi, Mwana wa binadamu atamwonea aibu+ yeye pia atakapofika katika utukufu wa Baba yake pamoja na malaika watakatifu.”+
26 Kwa maana mtu yeyote yule atakayenionea aibu mimi na maneno yangu, Mwana wa binadamu atamwonea aibu mtu huyo atakapofika katika utukufu wake na ule wa Baba na wa malaika watakatifu.+