Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Mika 7:6
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 6 Kwa maana mwana anamdharau baba, binti anasimama kumpinga mama yake;+ binti-mkwe kumpinga mama-mkwe wake;+ adui za mtu ni watu wa nyumba yake.+

  • Luka 12:52
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 52 Kwa maana tangu sasa na kuendelea kutakuwa na watano katika nyumba moja waliogawanyika, watatu dhidi ya wawili na wawili dhidi ya watatu.+

  • Luka 12:53
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 53 Watagawanyika, baba dhidi ya mwana, mwana dhidi ya baba, mama dhidi ya binti, binti dhidi ya mama yake, mama-mkwe dhidi ya binti-mkwe wake na binti-mkwe dhidi ya mama-mkwe wake.”+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki