Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Mathayo 22:16
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 16 Basi wakawatuma wanafunzi wao kwake, pamoja na wafuasi wa chama cha Herode,+ wakisema: “Mwalimu, tunajua wewe una ukweli nawe hufundisha njia ya Mungu katika kweli, na hujali mtu yeyote, kwa maana wewe hutazami sura ya mtu.+

  • Luka 20:21
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 21 Nao wakamuuliza, wakisema: “Mwalimu, tunajua wewe husema na kufundisha kwa usahihi na huonyeshi ubaguzi wowote, bali wewe hufundisha njia ya Mungu kupatana na ile kweli:+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki