Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Yohana 13:23
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 23 Mmoja wa wanafunzi wake alikuwa ameegama kifuani pa Yesu, naye Yesu alimpenda.+

  • Yohana 21:7
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 7 Kwa hiyo mwanafunzi ambaye Yesu alikuwa akimpenda,+ akamwambia Petro:+ “Ni Bwana!” Kwa hiyo Simoni Petro, aliposikia kwamba ni Bwana, akajifunga mwenyewe kwa kujizungushia kiunoni vazi lake la juu, kwa maana alikuwa uchi, akajitumbukiza ndani ya bahari.

  • Yohana 21:20
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 20 Petro alipogeuka, alimwona mwanafunzi ambaye Yesu alikuwa akimpenda,+ akifuata, yule ambaye kwenye mlo wa jioni alikuwa pia ameegemea nyuma kifuani pake akasema: “Bwana, ni nani anayekusaliti?”

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki