Marko 8:23 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 23 Naye akamshika mkono yule mtu aliyekuwa kipofu, akamtoa nje ya kijiji, na, baada ya kutema mate+ juu ya macho yake, Yesu akaweka mikono juu yake na kuanza kumuuliza: “Je, unaona kitu chochote?”
23 Naye akamshika mkono yule mtu aliyekuwa kipofu, akamtoa nje ya kijiji, na, baada ya kutema mate+ juu ya macho yake, Yesu akaweka mikono juu yake na kuanza kumuuliza: “Je, unaona kitu chochote?”