Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Waamuzi 19:1, 2
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 19 Katika siku hizo, wakati ambapo hakukuwa na mfalme katika Israeli,+ Mlawi fulani aliyekuwa akiishi mbali katika eneo lenye milima la Efraimu+ alimwoa suria kutoka Bethlehemu+ kule Yuda. 2 Lakini suria huyo hakuwa mwaminifu kwake, akamwacha mume wake na kurudi Bethlehemu nyumbani kwa baba yake kule Yuda. Naye akakaa huko kwa miezi minne.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki