12 Miongoni mwa wakaaji wa Yabesh-gileadi walipata mabikira 400 ambao hawajawahi kufanya ngono na mwanamume. Basi wakawaleta kambini huko Shilo,+ katika nchi ya Kanaani.
14 Basi Wabenjamini wakarudi wakati huo. Waisraeli wakawapa Wabenjamini wanawake waliowachukua kule Yabesh-gileadi,+ lakini walikuwa wachache kuliko wanaume.