-
2 Samweli 15:35, 36Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
35 Kuhani Sadoki na Abiathari wako huko pamoja nawe. Utamwambia kuhani Sadoki na Abiathari mambo yote utakayosikia katika nyumba ya mfalme.+ 36 Wana wao wawili, Ahimaazi+ mwana wa Sadoki na Yonathani+ mwana wa Abiathari wako huko pamoja nao, nanyi mtawatumia wana hao kuniletea habari zote mtakazosikia.”
-