27 Mfalme akamwambia kuhani Sadoki: “Je, wewe si mwonaji?+ Rudi jijini kwa amani, na pia wachukue wana wenu wawili, Ahimaazi mwana wako na Yonathani+ mwana wa Abiathari.
36 Wana wao wawili, Ahimaazi+ mwana wa Sadoki na Yonathani+ mwana wa Abiathari wako huko pamoja nao, nanyi mtawatumia wana hao kuniletea habari zote mtakazosikia.”
19 Ahimaazi+ mwana wa Sadoki akasema: “Tafadhali, niruhusu nikimbie na kumpelekea mfalme habari hizi, kwa maana Yehova amemtendea kwa haki kwa kumweka huru kutoka mikononi mwa maadui wake.”+