Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • 1 Wafalme 16:8
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 8 Katika mwaka wa 26 wa Mfalme Asa wa Yuda, Ela mwana wa Baasha akawa mfalme wa Israeli kule Tirsa, naye alitawala kwa miaka miwili.

  • 1 Wafalme 16:10
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 10 Zimri akaingia, akampiga+ na kumuua katika mwaka wa 27 wa Mfalme Asa wa Yuda, naye akawa mfalme baada yake.

  • 2 Wafalme 11:1
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 11 Basi Athalia+ mama ya Ahazia alipoona kwamba mwanawe amekufa,+ alitoka na kuangamiza uzao wote wa kifalme.*+

  • 2 Wafalme 15:8
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 8 Katika mwaka wa 38 wa utawala wa Mfalme Azaria+ wa Yuda, Zekaria+ mwana wa Yeroboamu akawa mfalme wa Israeli huko Samaria, naye alitawala kwa miezi sita.

  • 2 Wafalme 15:10
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 10 Kisha Shalumu mwana wa Yabeshi akapanga njama dhidi yake na kumuua+ huko Ibleamu.+ Baada ya kumuua, Shalumu akawa mfalme.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki