Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • 2 Wafalme 12:9
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 9 Kisha kuhani Yehoyada akachukua sanduku,+ akatoboa tundu kwenye kifuniko chake, akaliweka kando ya madhabahu upande wa kulia unapoingia ndani ya nyumba ya Yehova. Makuhani waliolinda mlangoni waliweka pesa zote zilizoletwa katika nyumba ya Yehova katika sanduku hilo.+

  • 2 Mambo ya Nyakati 34:9
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 9 Walienda kwa kuhani mkuu Hilkia na kumpa pesa zilizokuwa zimeletwa katika nyumba ya Mungu, ambazo Walawi waliokuwa walinzi wa malango walikuwa wamekusanya kutoka kwa watu wa kabila la Manase, Efraimu, na Waisraeli wengine wote,+ na pia kutoka kwa watu wa Yuda, Benjamini, na wakaaji wa Yerusalemu.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki