-
1 Mambo ya Nyakati 26:14-16Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
14 Kura ya upande wa mashariki ilimwangukia Shelemia. Wakapiga kura kwa ajili ya Zekaria mwanawe, mshauri mwenye busara, aliangukiwa na kura ya upande wa kaskazini. 15 Obed-edomu alipata kura ya upande wa kusini, na wanawe+ walipewa kazi ya maghala. 16 Shupimu na Hosa+ walipata kura ya upande wa magharibi, karibu na Lango la Shalekethi kando ya barabara kuu inayoelekea juu, kikundi cha ulinzi karibu na kikundi kingine cha ulinzi;
-