Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • 1 Samweli 28:4
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 4 Wafilisti wakakusanyika na kwenda kupiga kambi Shunemu.+ Basi Sauli akawakusanya Waisraeli wote, nao wakapiga kambi Gilboa.+

  • 1 Samweli 31:8-10
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 8 Siku iliyofuata, Wafilisti walipokuja kuwavua waliouawa vitu walivyokuwa navyo, walimkuta Sauli na wanawe watatu wakiwa wameanguka kwenye Mlima Gilboa.+ 9 Basi wakamkata kichwa na kumvua silaha zake na kutuma ujumbe kotekote katika nchi ya Wafilisti ili habari+ zienezwe katika nyumba za* sanamu zao+ na miongoni mwa watu. 10 Kisha wakaweka silaha zake katika nyumba ya sanamu za Ashtorethi na kuitundika maiti yake kwenye ukuta wa Beth-shani.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki