Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Waamuzi 16:23, 24
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 23 Watawala wa Wafilisti wakakusanyika ili kusherehekea na kumtolea dhabihu nyingi mungu wao Dagoni,+ kwa kuwa walisema, “Mungu wetu amemtia mikononi mwetu adui yetu Samsoni!” 24 Watu walipomwona, wakamsifu mungu wao wakisema, “Mungu wetu amemtia mikononi mwetu adui yetu aliyeharibu nchi yetu+ na kuua watu wengi kati yetu.”+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki