Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • 2 Samweli 15:37
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 37 Basi Hushai rafiki ya*+ Daudi akaingia jijini Absalomu alipokuwa akiingia Yerusalemu.

  • 2 Samweli 16:16, 17
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 16 Hushai+ Mwarki,+ rafiki ya* Daudi, alipoingia kwa Absalomu, alimwambia hivi Absalomu: “Mfalme na aishi muda mrefu!+ Mfalme na aishi muda mrefu!” 17 Ndipo Absalomu akamuuliza Hushai: “Je, huu ndio upendo mshikamanifu unaomtendea rafiki yako? Kwa nini hukwenda na rafiki yako?”

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki