Mika 7:3 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 3 Mikono yao ni stadi katika kutenda maovu;+Mkuu anadai vitu,Hakimu anaomba zawadi,+Mtu maarufu anasema vitu anavyotamani,*+Nao hupanga njama pamoja.*
3 Mikono yao ni stadi katika kutenda maovu;+Mkuu anadai vitu,Hakimu anaomba zawadi,+Mtu maarufu anasema vitu anavyotamani,*+Nao hupanga njama pamoja.*