Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Marko 15:45-47
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 45 Baada ya kuhakikisha kutoka kwa huyo ofisa wa jeshi, akamruhusu Yosefu auchukue mwili huo. 46 Baada ya kununua kitani bora, akamshusha na kumfunga kwa kile kitani bora na kumlaza katika kaburi*+ lililokuwa limechimbwa katika mwamba; kisha akaviringisha jiwe kwenye mwingilio wa lile kaburi.+ 47 Lakini Maria Magdalene na Maria mama ya Yose wakaendelea kutazama mahali alipokuwa amelazwa.+

  • Yohana 19:38
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 38 Baada ya mambo hayo Yosefu wa Arimathea, aliyekuwa mwanafunzi wa Yesu lakini kwa siri kwa sababu aliwaogopa Wayahudi,+ akamwomba ruhusa Pilato ili auondoe mwili wa Yesu, naye Pilato akamruhusu. Basi akaja na kuuondoa mwili huo.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki